Rwanda Forums Rwanda Facts The Rwanda Big Lie Reply To: The Rwanda Big Lie

#27971

WAZUNGU WAMETUDANGANYA : Sisi wacongomani Lazima tufungue macho wazungu wametudanganya kupitia makabika eti huyu Ni Mutusi huyu Muluba huyu Mubembe huyu Mushi . Mufulero .Munande nawengine, Imeonekana kuwa Sisi wacongomani atuna akili kabisa sana sana watoto wa Kivu kilasiku vita vyawenyewe kwawenyewe watoto wakivu tukona akili kidogo kabisa wafanya siasa wametudanganya eti tuuwane sisiwenyewe iliwapate nafasi yakuiba inchi wanakula pesa kupitia damu yawatoto wakivu.Nduguzangu watoto wakivu kwanini vita kilasiku.? kwanini ubaguzi.? Faidagani tumepata .? Hii niwakati wakujenga wakati wamaendeleo Fungua macho uone. Chanzo chavita Nikubaguana sisiwenyewe, acheni ubaguzi wamakabila, watoto wa kivu tukowajinga sana Ninyi wabembe kilasiku munauwa wanyamulenge nangombezao sasa Faida yenu nigani kitugani mnafaidika apo.? wafanyasiasa wamewadanganya kweli, wende fika Lubumbashi Fika mumaprovence zingine za Congo uone maendeleo Nikweli Kivu imebaki Nyuma sana sababu ya ubaguzi wamakabila vita vyakilasiku, Hii inaonyesha akili kidogo kwetu watoto wa Kivu, watu wakivu Tukowajinga kweli umasikini waroo.